HISTORIA YA MTUME AL-YASA’A(A.S)

Mtume Alyasa'a(a.

HISTORIA YA MTUME AL-YASA'A(A.S)

HISTORIA YA MTUME AL-YASA'A(A.S)

Mtume Alyasa'a(a.s) ametajwa mara moja tu katika Qur'an na kubainishwa kuwa ni miongoni mwa watu waliofadhilishwa na Mwenyezi Mungu.

'Na (tukamwongoa) Ismail na Alyasaa na Yunus na Lut. Na wote tukawafadhilisha juu ya walimwengu (wote katika zama zao)' (6:86).



Kufadhilishwa kwa Mitume hawa hakukutokana na nasaba zao wala zama za kuletwa kwao duniani. Bali kwa ujumbe waliopewa na juhudi waliyoifanya katika kuutekeleza ujumbe huo na kuufikisha kwa kaumu zao. Haya yanathibitishwa na aya zinazofuatia:

'Hao ndio tuliowapa vitabu na hukumu (Ilmu) na utume. Kama hawa (makafiri) wakiyakataa hayo, basi tumekwisha yawekea watu wasioyakataa' (6:89).

'Hao ndio ambao Mwenyezi Mungu amewaongoa, basi fuata Uongozi wao' (6:90).



                   



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 202


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Historia ya Al-Khidhri
Jina Al-Khidhri halikutajwa mahali popote katika Qur'an. Soma Zaidi...

UKITAKA KUOMBA BASI MUOMBE ALLAH, UKIMKUMBUKA WAKATI WA RAHA ATAKUKUMBUKA WAKATI WA DHIKI, SHIDA NA TAABU
' ' ' ' ' ' ' ' ': "' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ': '... Soma Zaidi...

NI IPI FAMILIA YA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) NA NI IPI NASABA YAKE, UKOO WAKE NA KABILA LAKE
FAMILIA YA MTUME (S. Soma Zaidi...

Yusufu(a.s) Atupwa afungwa Gerezani
Mkewe Al-Aziz hakumkatia tamaa Yusufu(a. Soma Zaidi...

Sharti za kutoa zaka
Masharti ya Utoaji wa Zakat na Swadaqat Utoaji katika njia ya Allah (s. Soma Zaidi...

Vipengele vya Mikataba ya 'Aqabah na faida zake katika kuimarisha uislamu Maka na Madina
Katika Hija iliyofuatia katika mwaka wa 621 A. Soma Zaidi...

HISTORIA NA MAISHA YA NABII ISMAIL(A.S)
Ismail(a. Soma Zaidi...

Wajbu wa wazazi kwa watoto wao
Wajibu wa Wazazi kwa Watoto Wazazi wanawajibu kwa watoto wao. Soma Zaidi...

Mtume hakufundishwa quran na Jabir na Yasir
Soma Zaidi...

Maana ya shahada kama nguzo ya kwanza ya uislamu
4. Soma Zaidi...

NAFASI YA SUNNAH KATIKA UISLAMU
Nafasi ya Sunnah katika UislamuMtume Muhammad (s. Soma Zaidi...

Nini maana ya kutosheka na faida za kutosheka
32. Soma Zaidi...