MAMA YAKE MTUME MUHAMMAD (S.A.W) ANAMLEA MTUME MUHAMAD AKIWA NA UMRI WA MIAKA MINNE (4)

KULELEWA NA MAMA YAKE ALIPOFIKA MIAKA MINNEMtume (s.

MAMA YAKE MTUME MUHAMMAD (S.A.W) ANAMLEA MTUME MUHAMAD AKIWA NA UMRI WA MIAKA MINNE (4)


KULELEWA NA MAMA YAKE ALIPOFIKA MIAKA MINNE
Mtume (s.a.w) alirudishwa kwa mama yake alipokuwa na umri wa miaka minne, na aliendelea kuishi na mama yake mpaka alipotimia miaka sita, na hapo ndipo wakati ambao mama yake kipenzi alifariki dunia. Wanazuoni wanaeleza juu ya kufariki kwa mama yake kama ifuatavyo:-

Mama yake Mtume (s.a.w) alifunga msafara kwenda kuzuu kaburi la mume wake huko madina. Katika msafara huu alikuwepo Mtume (s.a.w), mjakazi wa kike aitwaye Ummu Ayman, Mtume (s.a.w) pamoja na baba mkwe wake bi Amina aitwaye 'Abdul Al-Muttalib. Walikaa huko kwa muda wa mwezi mmoja, na walipokuwa wanarejea mama yake Mtume (s.a.w) alipatwa na maradhi ya ghafla na akafariki wakiwa njiani sehemu iitwayo Abwai ni kijiji kilichopo kati ya Makkah na madinah.


                   

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 333

Post zifazofanana:-

Taratibu na namna ya kutafuta mchumba na sifa za mchumba
Soma Zaidi...

NECTA ENGLISH STANDARD SEVEN 2012 (NECTA PAST PAPERS FOR ENGLISH SUBJECT)
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIANATIONAL EXAMINATIONS COUNCILPRIMARY SCHOOL LEAVING EXAMINATION02ENGLISH LANGUAGETime: 1:30 HoursThursday, 20th September 2012 a. Soma Zaidi...

kuna uhusiano gani kati ya masundosundo naukimwi na je mtu anaweza asiwe nadalili zote hizo hulizo ziainisha akatokewa na masundosundo
Soma Zaidi...

DARSA: FIQH, SUNNAH, HADITHI, QURAN, SIRA, TAFSIRI YA QURAN, VISA VYA MITUME NA MASAHABA
1. Soma Zaidi...

darasa la lishe
Jifunze mengi kuhusu afya na lishe, ujuwe utaratibu wa lishe Soma Zaidi...

Utaratibu wa kuzika, hatua kwa hatua, na namna ya kusindikiza jeneza
4. Soma Zaidi...

HISTORIA YA NABII ISMAIL
Soma Zaidi...

Bara la Arabu Zama za Jahiliyyah
Wakati Mtume(s. Soma Zaidi...

Uislamu ni Nasaha (kunasihiana) kwa Mwenyezi Mungu, Kitabu chake Mtume wake , Viongozi na waislamu wote
' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ': "' '?... Soma Zaidi...

Kujiepusha na kukaribia zinaa
Si zinaa tu iliyoharamishwa bali hata yale yote yanayotengeneza mazingira na kuchochea kufanyika kwa zinaa nayo pia yameharamishwa. Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Mayai
Soma Zaidi...

DALILI ZA MINYOO: maumivu ya tumbo, kichwa, kuwashwa, kutapika damu, moyo kuumwa, ukuaji hafifu, udhaifu na kuchoka
DALILI ZA MINYOO Wakati mwingine ni vigumu sana kujua kama una minyoo, kwani minyoo wanaweza kukaa ndani ya mwili kwa muda mrefu bila ya kuonesha dalili yeyote, ama madhara yeyote. Soma Zaidi...