Namna ya kuswali swala ya kuombea haja

9.

Namna ya kuswali swala ya kuombea haja

9. Swala ya Kukidhi Haja



Muislamu anatakiwa amtegemee Allah (s.w) katika kila hali. Kila anapokuwa na tatizo au anapohitajia jambo lolote, anatakiwa amuelekee Allah (s.w) na aombe msaada kutoka kwake.



Abdur-Raham ibn Awfi (r.a) amesimulia kuwa Mtume (s.a.w) amesema: Yeyote atakayekuwa na haja ambayo anataka itoshelezwe na Allah (s.w) au na mwanaadamu na atawadhe inavyostahiki, kisha aswali (rakaa mbili) amhimidi Allah na kumtakia Mtume Rehma na amani kisha aseme:
'Hapana Mola (apasaye kuabudiwa) ila Mwenyezi Mungu. Mwingi wa huruma, Mkarimu. Utukufu ni wa Allah, Mfalme wa Arshi Tukufu, Shukurani zote ni za Mwenyezi Mungu Mola (Bwana) wa walimwengu.


Nakuomba unr'laalie njia ya kupata rehtna Zako na sababu ya kupata msanwha wako: Ninaomba hifadhi Yako kutokuna na kila oru. Usiniache na kosa (dhanrbi) lnlote bila vu kunisatnehe na (usiniache na) na wasi wasi wowote bila ra kuniondolea, na usiniache na haft' vovore venue radhi Zako bila ya kunikidhia. Ewe Mwingi wa Rehnui Mrehentevu ". (Tirmidh, Ibn Majah).




                   


Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 2134

Post zifazofanana:-

Zifahamu njia za kutwaharisha, aina za maji, udongo na Namna ya kujitwaharisha
Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Mihogo
Soma Zaidi...

Vyakula hatari kwa mjamzito mwenye mimba na mimba changa
Vyakula hivi hapasi kuvila mwanamke mwenye ujauzito kwa kiasi kikubwa, hasa yule mwenye mimba chaga Soma Zaidi...

Maana ya Swaumu na Lengo la kufunga
Soma Zaidi...

NAMNA YA KUGUNDUA VIDONDA VYA TUMBO
NAMNA YA KUGUNDUA VIDONDA VYA TUMBO Ili kugundua vidonda, daktari wako anaweza kwanza kuchukua historia ya matibabu na kufanya uchunguzi wa mwili. Soma Zaidi...

Zijuwe Dalili za minyoo na dalili kuu 9 za minyoo
Utajifunza dalili za minyoo, sababu za minyoo na namna ya kujiepusha na minyoo. Dalili kuu 5 za minyoo mwilini Soma Zaidi...

VOCABULARY TEXT 01
learn English Vocabulary Soma Zaidi...

quran na sunnah
Soma Zaidi...

Umuhimu wa kusimamisha uislamu katika jamii
1. Soma Zaidi...

VOCABULARY ANSWERS
1. Soma Zaidi...

Kumuosha maiti hatua kwa hatua nguzo zake, na suna zake
Soma Zaidi...

Wanyama ambao hutolewa zaka
(ii) Wanyama wafugwao kwa ajili ya chakula Wanyama wafugwao wanaotolewa Zakat ni ngamia, ngo'ombe, mbuzi na kondoo. Soma Zaidi...