Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? Tupigie simu ama tuma ujumbe wa meseji SMS H apo chini

SMS
CALLKARIBU KWENYE UKURASA WA WANACHAMAAina za uanachama

Kuna aina tatu za Wanachama, kuna Member, VIP na Expert. Huduama hutakaychagua ndio itakayokupelka kwenye uanachama husika.

  1. Mwanachama Member hataweza kucomment, Pia hataweza kupata huduma zetu nyingine
  2. Mwanachama VIP ataweza kucomment na kuchati na staff, karibia huduma zote atazipata
  3. Mwanachana Expert huyu ataweza kutuma makala yake kwetu, kupata email yetu na kuingia staff page.


Usajili na kulogin

Mwanachama Member atajisajili kwa Facebook, Namba ya Simu ama Gmail
Mwanachama VIP atajisajili kwa Gmail tu
Mwanachama Expert anajisajii kwa bongoclass Email


Kama upo Kwenye ukurasa huu basii wewe ni VI