Faida za kiafya za kula Zabibu

Faida za kiafya za kula Zabibu



Faida za kula zabibu:

  1. zabibu lina virutubisho vingi kama vitamini C , B6 na K na fat na madini ya shaba na manganese.
  2. Ina antioxidanti zinazohusika kuondoa sumu za kemikali na vyakula mwilini
  3. Hupunguza athari ama hatari ya magonjwa kama saratani, kisukari na maradhi ya moyo na mishipa ya damu
  4. Huondoa stress na misongo ya mawazo
  5. Hushusha shinikizo la damu
  6. Hupunguza cholesterol mbay
  7. Hushusha kiwango cha sukari kwenye damu
  8. Husaidia kuimarisha afya ya macho
  9. Huimarisha afya ya ubongo na utunzaji wa kumbukumbu
  10. Husaidia kuboresha afya ya mifupa
  11. Husidia kupunguza maambukizi ya baadhi ya bakteria, virusi na fangasi
  12. Hupunguza kuzeheka mapema


                   



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 242


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-