Faida za kiafya za kula Tangawizi

Faida za kiafya za kula Tangawizi



Faida za kiafya za Tangawizi

  1. huondoa sumu za vyakula na kemikali mwilini
  2. Huondoa kichefuchefu hasa kwa kichefuchefu cha mimba
  3. Hupunguza maumivu ya viungio na misuli
  4. Hupunguza maambukizi ya mara kwa mara
  5. Huimarisha afya ya moyo
  6. Hushusha kiwango cha sukari kwenye damu
  7. Hutibu tatizo la kukosa hamu ya kula na kukosa choo
  8. Hupunguza maumivu ya tumbo la chango kwa wakinamama
  9. Hushusha kiwango cha cholesterol
  10. Huzuia saratani
  11. Huimarisha afya ya ubongo hasa kwa wazee


                   



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 225


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-