Faida za kiafya za kula Pensheni

Faida za kiafya za kula Pensheni



Faida za kula pensheni  au pashen (passion fruit)

  1. tunda hili lina virutubisho kama vitamini A na C. pia lina madini ya chuma na potassium
  2. Husaidia kulinda mwili dhidi ya kemikali
  3. Hulinda moyo dhidi ya maradhi ya moyo
  4. Huboresha afya ya macho
  5. Hupunguza uwezekano wa kupata saratani ya tumbo, utumbo na matiti
  6. Hupunguza athari za maradhi ya kisukari
  7. Huondoa tatizo la kutopata choo
  8. Huimarisha mwili dhidi ya mashambulizi ya mara kwa mara.


                   

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 850

Post zifazofanana:-

Nafsi ya mwanaadamu
Soma Zaidi...

bongoclass health
1. Soma Zaidi...

Dua Sehemu ya 01
Zijue fadhila za kuomba dua, tambua umuhimu na mahimizo juu ya kuomba dua? Soma Zaidi...

MASHARTI YA KUKUBALIWA KWA DUA
MASHART YA KUKUBALIWA KWA DUA. Soma Zaidi...

MAANA NA FADHILA ZA KUOMBA DUA
DUA Kwa ufupi dua ni kumuomba Allah akuondoshee lililobaya, ama linalo kuudhi ama akupe jambo fulani. Soma Zaidi...

HISTORIA YA NABII MUSA(A.S) NA HARUN(A.S)
Nabii Musa(a. Soma Zaidi...

NAMNA YA KUITAMBUA SIKU HATARI YA KUPATA MIMBA (UJAUZITO)
SIKU YA KUPATA UJAUZITO Mimba hutokea pindi mbegu ya kiume (sperm) inapokutana na yai la mwanamke (ova) na kuungana kwa pamoja kutengeneza selli moja iitwayo zygote. Soma Zaidi...

tawhid
Soma Zaidi...

Masomo ya Dua na Faida zake Dua
Soma Dua mbalimbali hapa, Soma Zaidi...

DUA 61 - 84
61. Soma Zaidi...

NAMNA YA KUSWALI
13. Soma Zaidi...

Nabii Ibrahiim(a.s) Kumlingania Uislamu Baba Yake
Baada ya NabiiIbrahiim(a. Soma Zaidi...