Faida za kiafya za kula Miwa

Faida za kiafya za kula Miwa



Faida za kiafya za kula muwa (miwa)

  1. husaidia katika kuupa mwili nguvu kwa haraka sana
  2. Husaidia kwa wenye tatizo la kisukari hasa kwa wenye type-1 diabetes
  3. Hulinda mwili dhidi ya saratani
  4. Husaidia katika kulinda afya ya figo
  5. Husaidia katika kuboresha mfumo wa kinga
  6. Hulinda mfumo wa mmeng’enyo wa chakula uwe katika hali salama.
  7. Huboresha afya ya meno na kuzuia kuoza ama kubenduka kwa meno
  8. Huboresha afya ya kucha
  9. Miwa husaidia kuboresha afya ya ngozi.


                   



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1239


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-