Faida za kiafya za kula Mayai

Faida za kiafya za kula Mayai



Faida za kiafya za kula mayai

  1. Mayai yana virutubisho kama vitamini A, B5, B12, B2 B6, D, E na K. pia yai lina madini ya selenium, zinc na calcium
  2. Husaidia katika kuongeza kiwango cha cholesterol zilizo nzuri
  3. Husaidia katika ufanyaji kazi wa ubongo kuwa mzuri pia katika kutengeneza utando wa seli
  4. Mayai huamini ka katika kupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo
  5. Mayai ni chakula kizuri kwa afya ya macho
  6. Mayai yana kiwango kikubwa cha protini iliyo bora kabisa
  7. Pia mayai husaidia katika kupunguza hatari ya kupata kiharusi yaani kupalalaizi
  8. Husaidia pia katika kupunguza uzito.


                   



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 130


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-