Faida za kiafya za kula kitunguu thaumu

Faida za kiafya za kula kitunguu thaumu



Faida za kiafya za kitunguu thaumu

  1. ina chembechembe za salfa ambazo ni dawa kubwa kwa afya ya mtu
  2. Kuna virutubisho kama vitamini C na vitamini B6, pia madini ya manganese
  3. Hupunguza usingizi
  4. Hupambana na mafua
  5. Hushusha presha ya damu
  6. Huboresha afya ya moyo
  7. Huborsha afya ya ubongo na kuondoa tatizo la kusahausahau
  8. Huondosha sumu za vyakula na kemikali mwilini
  9. Huboresha afya ya mifupa


                   



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 113


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-