Faida za kiafya za kula Fyulisi

Faida za kiafya za kula Fyulisi



Faida za kiafya za kula fyulisi (peach)

  1. lina virutubisho kama vitamini C, A na E. pia madini ya potassium, shaba, manganese na phosphorus.
  2. Huimarisha afya ya mifupa na meno
  3. Huimarisha mfumo wa kinga
  4. Kupunguza kazi ya kuzeheka
  5. Hulinda mfumo wa fahamu na neva
  6. Huboresha afya ya macho
 


                   



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 184


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-