UGONJWA WA HOMA YA VIRUSI VYA ZIKA (ZIKV) VINAVYO SABABISHWA NA KUNG'ATWA NA MBU

Mnamo mwaka 2016 World Health Organization (WHO) iliitisha kikao cha dharura mnamo mwezi tarehe 1 mwezi wa pili mpaka tarehe 13 mwezi wa nne.

UGONJWA WA HOMA YA VIRUSI VYA ZIKA (ZIKV) VINAVYO SABABISHWA NA KUNG'ATWA NA MBU

1. VIRUSI VYA ZIKA (ZIKV)

Mnamo mwaka 2016 World Health Organization (WHO) iliitisha kikao cha dharura mnamo mwezi tarehe 1 mwezi wa pili mpaka tarehe 13 mwezi wa nne. katika kikao hiki ilitangazwa kuwa virusi vya ZIKA husambazwa na mbu aina ya Aedes aegypti.

 

Virusi vya zika husababisha kuzaliwa kwa watoto wasio wa kawaida kama vile watoto kuwa na vichwa vidogo ni athari ya virusi hivi. kwa sasa virusi hivi vimesambaa zaidi ya nchi 40 duniani. mbu hawa si kama wa malaria ambao hung'ata wakati wa usiku, mbu wanaobeba virusi wa zika wanang'ata wakati wa mchana.

 

miongoni mwa dalili za uwepo wa virusi hivi mwilini hufanana sana na dalili za malaria ijapo kuna utofauti kiasi. Dalili za uwepo wa virusi hivi ni kama:-

  1. homa
  2. mapele
  3. athari kwenye macho
  4. maumivu ya kichwa
  5. maumivu ya misuli na viungio

 

Dalili hizi hizi huanza kutokea baada ya siku 3 mpaka 12 baada ya kupata virusi hawa. Ila tafiti zinaonesha kuwa yapata asilimia 80% ya watu wenye virusi hivi hawaonyeshi dalili yeyote na hawajui kama wana virusi hivi. Tofauti na kuwa virusi hawa wanasambazwa na mbu lakini pia tafiti zinathibitisha kuwa ngono pia huweza kuambukiza virusi hivi.



                   

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 132

Post zifazofanana:-

fangasi, aina zao, dalili zao na matibabu yao
Fangasi na Aina zao Fangasi wa kwenye kucha Fangasi wa Mapunye Fangasi aina ya candida Fangasi wa Mdomoni na kooni Fangasi wa kwenye uke Fangasi wanaoshambulia mfumo wa damu na ogran kama moyo, figo n. Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Stafeli
Soma Zaidi...

Namna ya kujitwaharisha mkojo wa Mtoto mdogo Najisi Hafifu
Soma Zaidi...

HISTORIA YA NABII ADAM
Soma Zaidi...

YANAYOATHIRI AFYA KUTOKANA NA VIZAZI, FAMILIA NA KURITHI
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

JITIBU KWA TIBA ASILI, TIBA ZITOKANAZO NA VYAKULA
1. Soma Zaidi...

IJUWE MINYOO, SABABU ZAKE, ATHARI ZA MINYOO, MATIBABU YAKE NA KUPAMBANA KWAKE
Soma Zaidi...

Darsa za Sira historia ya Mtume (s.a.w) Jaribio la 04
Soma Zaidi...

Swala ya Idi al-fitir na namna ya kuiendea
Soma Zaidi...

HISTORIA YA UANDISHI WA HADITHI
Historia fupi ya uandishi wa Hadith za Mtume (s. Soma Zaidi...

IJUE MALARIA; DALILI ZAKE, TIBA YAKE, ATHARI ZAKE NA KINGA YAKE
MALARIA NI NINI HASA? Soma Zaidi...

Maana ya Kumuamini Allah (s.w) katika Utendaji wa kila siku
Soma Zaidi...