Upeo wa Elimu waliyokuwa nayo Mitume

Upeo wa Elimu waliyokuwa nayo Mitume

Upeo wa Elimu waliyokuwa nayo Mitume




Mitume walikuwa na upeo wa fikra na hekima kuliko mtu 101
yeyote katika jamii zao. Hawakusoma kwa mtu bali walifunuliwa elimu kwa njia ya Wahay kutoka kwa Mola wao. Kwa mfano juu ya Nabii Daudi na Suleimani tunasoma katika Qur-an:'Na bila shaka tuliwapa Daudi na Suleimani elimu (kubwa kabisa na wakamshukuru Allah) wakasema, 'Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu aliyetufadhilisha kuliko wengine katika waja wake waliomuamini' (27:15)





                   




Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 183


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

Ibrahiim(a.s) Aomba Kupata Kizazi Chema
Nabii Ibrahiim na mkewe Sarah walikaa mpaka wakawa wazee bila ya kupata mtoto. Soma Zaidi...

haki na wajibu kwa watumishi wa nyumbani (house boy and house girl)
Soma Zaidi...

HISTORIA NA MAISHA YA MTUME IDRISA (A.S)
Mtume aliyemfuatia Nabii Adam(a. Soma Zaidi...

Zaka katika mapambo, mali ya biashara na mali iliyofukuliwa ardhini
Soma Zaidi...

DUA 51 - 60
51. Soma Zaidi...

Himizo la kuwasamehe waliotukosea
'Na wasiape wale wakarimu na wenye wasaa miongoni mwenu, kujizuia kuwasaidia jamaa zao, maskini na wale waliohama kwa ajili ya Dini ya Allah; na wasamehe na waachilie mbali (wapuuze yaliyopita). Soma Zaidi...

Musa(a.s) Ahamia Madiani
Mchana wa siku moja Musa(a. Soma Zaidi...

NASABA YA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) KABILA LAKE, UKOO WAKE NA FAMILIA YAKE
NASABA YA MTUME (S. Soma Zaidi...

Hadithi Ya 25: Wenye Mali Wameondoka Na Fungu (jaza) Kubwa
Soma Zaidi...

Utekwaji wa Misri na Gavana Muawiya
Soma Zaidi...

Imam Abu Daud na Sunan Abi Daud
Soma Zaidi...

Bara la Arabu Zama za Jahiliyyah
Wakati Mtume(s. Soma Zaidi...