Hadithi Ya 35: Msioneane Choyo, Msizidishiane Bei, Msichukiane

Hadithi Ya 35: Msioneane Choyo, Msizidishiane Bei, Msichukiane

Hadithi Ya 35: Msioneane Choyo, Msizidishiane Bei, Msichukiane

' ' '

"' ' ' ' ' '"

 ' ' ' ' ' ' ': ' ' ' ' ' ' ' : ((' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ': ' ' ' ' ' ' ' ' - ' ' ' ' ' , ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ': ' ' '))

 

' '  


HADITHI YA 35 MSIONEANE CHOYO, MSIZIDISHIANE BEI, MSICHUKIANE

 

Kutoka kwa Abu Hurayra ' ' '   ambae amesema: Mtume ' ' ' '   kasema:

Msioneane choyo, wala msizidishiane bei (za vitu), wala msichukiane, wala msipigane mapande (msitengane), wala msishindane kwa kupunguza bei.  Lakini kuweni ndugu, enyi  waja wa Mwenyeezi Mungu, Muislamu ni ndugu wa Muislamu mwenzake, hamdhulumu wala hamvunji, hamwambii uongo wala hamdharau.  Ucha Mungu  uko hapa (huku akiashiria kifuani kwake kwa vidole vyake) mara tatu.  Ni uovu wa kutosha kwa mtu kumdharau ndugu yake Muislamu.  Muislamu ameharamishiwa kwa Muislamu mwenzake: damu yake, mali yake na heshima yake (Yaani haramu kuchukua mali ya mwenzako, kumuua na kumdhalilisha).

Imesimuliwa na Muslim  



                   



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 162


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-

SHIRK
Jifunze tawhid yaani kumpwekesha Allah subhaanah wata'aala Soma Zaidi...

SIRI YA KIFO INAFICHUKA
Soma Zaidi...

namna ya kutekeleza Funga za Sunnah pamoja na majukumu mengine
Soma Zaidi...

Swala za tahajud na namna ya kuziswali
4. Soma Zaidi...

Maana ya Funga ya ramadhani kisheria na Aina za funga
Amesema mtume (s.a.w) kuwa Allah (s.w) amesema: kila amali ya mwanaadamu ni kwa ajili yake isipokuwa funga. Soma Zaidi...

Shufaa
Soma Zaidi...

FAMILIA MPYA BAADA YA HARUSI
Soma Zaidi...

SHARTI ZA KUWAJIBIKA KWA ZAKA
Soma Zaidi...

Mafunzo Yatokanayo na Historia ya Nabii Ayyuub(a.s)
Kutokana na kisha hiki cha Nabii Ayyuub(a. Soma Zaidi...

ADABU ZA KUOMBA DUA
ADABU ZA KUOMBA DUA. Soma Zaidi...

swala ya tarawehe na namna ya kuiswali, rakaa zake na suna zake.
5. Soma Zaidi...

Umbwaji wa mwanadamu kutoka Nutfa (tone la mbegu za uzazi), alaqah (tone la damu, mudgha (pande la nyama) na kuwa mtu kamili
' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ': ' ' ' ' ' ' ' ' ... Soma Zaidi...